Chama cha Volleyball cha Tanzania, TAVA, kitapeleka timu ya wanawake kwenye michuano ya U-23 nchini Kenya...Michuano hiyo ya African Nations Volleyball Championship itafanyika kwa siku 8 kuanzia October 20 mpaka October 27...Bofya hapa upate habari zaidi.
0 Yorumlar