Cameroon imeichapa mabao 4 ya kihalali Tunisia huko Yaunde. Cameroon inaingia World Cup kwa mara ya saba...Pierre Webo ndio alioanza kufungulia magoli baada ya mabeki kujichanganya...
Benjamin Moukandjo alipiga cha pili...Eto sasa atacheza World Cup yake ya mwisho...ana chance ya kumuiga star wake Roger Miller...



0 Yorumlar